Home  |  Search  |  Help  |  Contact Us  |  Rutgers University Swahili


Practice
101 Assignments
101 Exercises
102 Assignments
102 Exercises
201 Exercises
202 Exercises
Discussion


Nomino

kitabu

kiti

daftari

karatasi

mfuko

gazeti

pesa

ubao

kalamu

penseli

simu

televisheni (runinga)

mlango

bangili

pete

saa ya mkono

bastola

bunduki

bisibisi

nyundo

wembe

mji

duka

maduka

soko

nyumba

darasa

shule

shule ya msingi

shule ya juu

jina

mji mkuu

njaa

kiu

usingizi

bahati

adabu

dirisha

ukuta

sakafu

dari

maktaba

kinyume

kazi

furaha

huzuni

riwaya

 

Maneno ya Wakati

sasa

sasa hivi

leo

kesho

jana

baada ya

kesho kutwa

juzi

 

Nchi

Ufaransa

Urusi

Watu

mtu

mwanamume

mwanamke

msichana

mvulana

mtoto

mzee

mwongo

baba

mama

kaka

dada

karani

mwandishi

mlevi

mpenzi

kiongozi

rais

mjinga

mzazi

mwana

mjanja

msemaji

msagaji

mchafuzi

Mwafrika

Mzungu

mwimbaji (1/2)

mbishi (1/2)

mwendawazimu (1/2)

mfanyabiashara (1/2)

mwanafunzi mchapu (1/2)

mwanafunzi mzito (1/2)

mgonjwa (1/2)

mfanyakazi (1/2) 

mfanyakazi wa kiwandani (1/2)

mjinga (1/2)

mjinga wa kusoma na kuandika (1/2)

rafiki (9/10) (5/6)

mwenyeji (1/2)

 

Maamkizi

Hujambo?

Hamjambo?

Habari?

Habari yako? [zako]

Habari gani?

Habari za leo?

Habari za nyumbani?

Habari za masomo?

Je, mzima? / Je, wewe mzima?

Mambo? / Mambo vipi?

Shikamoo.

Habari za tangu juzi?

U hali gani? // Mu hali gani?

 

Viulizo

gani

nini

nani

wapi

-ngapi

Jamaa

baba

mama

kaka

dada

mtoto

ndugu

 

Wanyama

mnyama

farasi

mbwa

paka

ng’ombe

ngamia

nyoka

 

Vyakula na Vinywaji

embe

tikiti

nanasi

zabibu

ndizi

 

Vivumishi

safi

bahili

-vivu

-fupi

-refu

-dogo

-kubwa

-zuri

-baya

maskini

tajiri

-chafu

huru

-embamba

-nene

-gonjwa

 

Vitenzi

ni [< -wa]

-andika

-sema

-soma

-tabasamu

-lia

-cheka

-imba

-fanya

-penda

-itwa

-cheza

-pumzika

-enda

-zaliwa

-jua

-fanya kazi

-pika

-fanya mazoezi

-kimbia

-kimbia mchakamchaka

-lala

-la

-maliza

 

 



Reference
362
Grammar
Vocabulary

Special Characters
Instructors Notes


© 2002 Rutgers University, excluding excerpted material that remains under the ownership of the existing copyright holders.

digiclass_help@brokenmail.rutgers.edu please replace "brokenmail" with ctaar.rutgers.edu