Mvulana huyu hapo juu anafanya
nini? Mvulana huyu anakwenda haja ndogo. Yaani anakojoa. Mtoto huyu anatumia
choo cha Kizungu, yaani choo cha kuketi.
Na kijana huyu, je? Anafanya
nini? Yeye anakwenda haja kubwa. Yaani anakunya. Kijana huyu anatumia choo cha
kienyeji, ndiyo kusema choo cha shimo au choo cha
kuchuchumaa.