Rais wa kwanza wa Tanzania alikuwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa Mzee Jomo Kenyatta.
Rais wa kwanza wa Uganda alikuwa Bw Milton Obote.
Rais wa kwanza wa Ghana alikuwa Kwame Nkrumah.
Tanzania ilipata uhuru wake mwaka 1961.
Uganda ilipata uhuru wake mwaka 1962.
Kenya ilipata uhuru wake mwaka 1963.
Ghana ilipata uhuru wake mwaka 1957.
digiclass_help@brokenmail.rutgers.edu please replace "brokenmail" with ctaar.rutgers.edu