Hadithi Fupi ya Kwanza
Huyu ni mwanamume. Jina lake ni Kibirenge. Yeye ni mwalimu, ni mwalimu wa shule ya msingi. Anapenda sana kazi yake.
----------------------------------------------------
Huyu ni mwanamke. Anaitwa Mwajuma. Mwajuma ni mwalimu pia. Yeye ni mwalimu wa shule ya juu na yeye pia anapenda sana kazi yake.
digiclass_help@brokenmail.rutgers.edu please replace "brokenmail" with ctaar.rutgers.edu