Home  |  Search  |  Help  |  Contact Us  |  Rutgers University Swahili


Practice
101 Assignments
101 Exercises
102 Assignments
102 Exercises
201 Exercises
202 Exercises
Discussion


CHUMBANI

  

 

Hapa tuko wapi? Tuko chumbani. Chumbani kuna nini? Kuna kitanda, kuna kiti, kuna kimeza (= meza ndogo), kuna viatu chini ya kitanda, kuna kabati la nguo, kuna dirisha, kuna zulia, na kuna mwavuli na bakora ukutani.

Dirishani kuna pazia. Kitini kuna kofia. Kitandani kuna mto na blanketi.

 Reference
362
Grammar
Vocabulary

Special Characters
Instructors Notes


© 2002 Rutgers University, excluding excerpted material that remains under the ownership of the existing copyright holders.

digiclass_help@brokenmail.rutgers.edu please replace "brokenmail" with ctaar.rutgers.edu